Recap
AZAM FC YALA MALI SAFI YA YANGA
Azam FC imekuwa timu ya kwanza msimu huu wa ligi kuu ya NBC kupata bao na ushindi dhidi ya Yanga baada ya kuwafunga watoto hao wa Jangwani 1-0 dimbani Azam Complex.
Yanga wakiwa wenyeji wa mchezo hao, walikutana na kitu ambacho hawakukitarajia na kujikuta wakitoka vichwa chini baada ya dakika 90. Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo, winga Mgambia, Gibril Sillah dakika ya 33 akimalizia pası ya kiungo mzawa, Adolf Mtasingwa Bitegeko.
Yanga walifungwa bao hilo wakiwa pungufu uwanjani baada ya refa Ahmed Arajiga wa Manyara kumtoa nje kwa kadi nyekundu beki Ibrahim Abdallah Hamad ‘Bacca’ dakika ya 21 kufuatia kumfanyia madhambi yanayotafsirika kama DOGSO, mshambuliaji wa Azam FC, Nassor Saadun Hamoud.
Azam FC
Mohamed Mustafa, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Yoro Diaby, Fuentes Mendoza, James Akaminko, Adolf Mtasingwa, Idd Nado, Gibril Sillah, Feisal Salum, Nassor Saadun.
Yanga
Djigui Diarra, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Bakary Mwamnyeto, Chadrack Boka, Khalid Aucho, Maxi Zengeli, Mudathir Yahya, Prince Dube, Clatous Chama, Aziz Ki
Details
Date | Time | League | Season |
---|---|---|---|
November 2, 2024 | 8:52 am | NBC Premier League | 2024 |
Results
Club | 1st Half | 2nd Half | Goals | Outcome |
---|---|---|---|---|
Young Africans | 0 | 0 | 0 | Loss |
AZAM FC | 1 | 0 | 1 | Win |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |