Polaroid squid flannel chillwave roof party prism green juice schlitz meditation vexillologist post-ironic hella umami cray.








Players
Our news

AZAM FC TAYARI KUWAKABILI JKU
Kikosi cha Azam FC kimemaliza mazoezi yake ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho dhidi ya JKU ya zanzibar. Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya kupima maendeleo ya kiufundi kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, Aprili 3 mwaka huu. Kocha Kali Ongalla amesema mchezo huo ni muhimu kwa ajili…

ZIARA YA NAIROBI YAFUTWA
Kutokana na sababu za kiusalama, ziara ya Azam FC nchini Kenya kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Gor Mahia FC, imefutwa. Kwa mujibu wa barua kutoka Gor Mahia iliyosainiwa na Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Raymond Oruo, kwenda kwa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Nurdin MohmedAmin, maarufu kama Popat, ziara hiyo imefutwa…

AZAM FC KWENDA NAIROBI
Machi 26 mwaka huu Azam FC itakuwa mgeni wa Gor Mahia FC kwenye mchezo wa kirafiki wa kiufundi ndani ya dimba la Nyayo jijini Nairobi nchini Kenya. Azam FC inatarajiwa kuondoka jijini Dar Es Salaam Jumatano ya Machi 24 kwa basi, ikipitia Arusha. Mechi hii inafuatia mwaliko kutoka Gor Mahia, timu ambayo imeshakutana na Azam…

Edinho atolewa kwa mkopo Stella Abidjan
TUNAPENDA kuufahamisha umma kuwa, tumemtoa kwa mkopo wa miezi sita kiungo wetu mshambuliaji, Tape Edinho, kwenda klabu ya Stella Abidjan ya kwao Ivory Coast. Edinho anaondoka ili kupisha usajili wa kipa wetu mpya, Abdulai Iddrisu, tuliyemsajili kwenye dirisha dogo akitokea Bechem United ya Ghana, ambapo hivi sasa tutakuwa tumetimiza sheria ya kuwa na wachezaji 12…
Latest Results


Recent videos on YouTube

Azam Fc Yatinga Fainali Ya Fa Cup Kibabe

Tpl Round 20 | Mbeya City 0-1 Azam Fc

Azam Fc Player Profile | Mudathir Yahya
Latest Tweets
What Fans Are Saying
Awards




