Recap
AZAM FC YAPIGA HODI KILELENI
Wakiwa katika dimba la nyumbani la Azam Complex, wenyeji Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Mabao ya Azam FC yamefungwa na kiungo Feisal Salum Abdallah dakika ya 38 na mshambuliaji Mcolombia, Jhonier Alfonso Blanco Yus dakika ya 57, wakati bao pekee la Singida Black Stars limefungwa na Elvis Baranga Rupia dakika ya 62.
Kwa ushindi huo, Azam FC inafikisha pointi 27 katika mchezo wa 12, ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi moja na Simba SC ambayo pia ina mchezo mmoja mkononi.
Singida Black Stars inayofikisha mechi nne bila ushindi, leo ikifungwa mara ya pili na drop mbili – inabaki na pointi zake 24 za mechi 12 nafasi ya nne.
Azam FC
Mohamed Mustafa, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Yoro Diaby, Fuentes Mendoza, James Akaminko, Adolf Mtasingwa, Gabriel Sillah, Idd Seleman, Jhonier Blanco, Feisal Salum
Singida Black Stars
Metacha Manta, Edward Manyama, Idd Habib, Emmanuel Keyekeh, Ayoub Lyanga, Anthony Tra Bi Tra, Ibrahim Imoro, Ande Koffi, Mohamed Camara, Elvis Rupia, Josephat Bada.
Video
Details
Date | Time | League | Season |
---|---|---|---|
November 27, 2024 | 7:00 pm | NBC Premier League | 2024 |
Results
Club | 1st Half | 2nd Half | Goals | Outcome |
---|---|---|---|---|
AZAM FC | 1 | 1 | 2 | Win |
Singida Black Stars | 0 | 1 | 1 | Loss |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |