Recap
TUMEJIPATA
Baada ya kukosa ushindi katika mechi mbili mfululizo, hatimaye Azam FC imevuna alama tatu muhimu mbele ya timu ngumu ya Namungo FC kwenye dimba la Kassim Majaliwa mjini Ruangwa mkoani Lindi.
Bao la nahodha Lusajo Mwaikenda aliyeunganisha kwa kichwa kona ya Feisal Salum, lilitosha kuipatia Azam FC alama zote tatu katika mchezo huo.
Azam FC iliingia kwenye mchezo huu ikiwa na presha kubwa kufuatia kukosa ushindi katika mechi mbili mfululizo. Ilipoteza 2-0 dhidi ya Simba kule Zanzibar kissa ikatoka suluhu na Mashujaa mjini Kigoma.
Mchezo unaofuata ni dhidi ya Tanzania Prisons dimba ni Sokoine, Oktoba 18 mwaka huu.
Azam FC
Mohamed Mustafa, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Yoro Diaby, Yeison Fuentes, James Akaminko, Adolf Mtasingwa, Idd Nado, Gibril Sillah, Feisal Salum, Nassor Saadun.
Details
Date | Time | League | Season |
---|---|---|---|
October 3, 2024 | 4:00 pm | NBC Premier League | 2024 |
Ground
Majaliwa Stadium |
---|
Results
Club | 1st Half | 2nd Half | Goals | Outcome |
---|---|---|---|---|
Namungo | 0 | 0 | 0 | Loss |
AZAM FC | 0 | 1 | 1 | Win |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |