ABDULAKRIM KISWANYA MITANO AZAM FC

Chipukizi wa ajabu kutoka akademi, Abdulkarim Kiswanya (20), amesaini mkataba wake wa kwanza na timu kubwa utakaomuweka Azam FC hadi 2030. Kiswanya aliyejiunga na akademi ya Azam FC Aprili 2021 akianzia timu ya chini ya miaka 17, amekuwa sehemu muhimu ya timu za vijana kwenye mashindano mbalimbali. Azam FC ilimuona Kiswanya kupitia mashindano ya Kombe […]