ASHRAF KIBEKU ASAINI MIAKA MITANO

Beki chipukizi kutoka akademi mwenye uwezo mkubwa wa kupanda na kushuka, Ashraf Kibeku, amesaini miaka mitano na timu kubwa ya Azam FC na kujifunga kuwa Chamazi hadi mwaka 2030. Ashraf alijiunga na akademi ya Azam FC mwaka 2018 akianzia timu ya chini ya miaka 13, na kupanda kidogo kidogo hadi sasa mesaini timu kubwa. Safari […]