AZAM FC 3-1 JKT Tanzania
AZAM FC 3-1 JKT: TUMEFUNGA MWAKA KIBABE Azam FC imeufunga mwala 2024 kwa ushindi mnono wa mabao 3-1 dhidi ya timu ngumu ya JKT Tanzania. Ikiwa nyumbani, Azam Complex, Azam FC ilijikuta ikitanguliwa kwa bao la mapema la dakika ya 13 kwa mkwaju wa adhabu ndogo wa Said Khamis Ndemla. Lakini mnamo dakika ya 36, […]