AZAM FC KUJIPIMA NA MAFUNZO YA ZANZIBAR
Katika kuendelea kujiweka sawa kabla ya kurejea kwa ligi kuu, Azam FC itakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar dimbani Azam Complex, Januari 31, 2025, saa moja kamili usiku. Akiongea na tovuti hii, meneja wa Azam FC Rashid Said Mgunya, amesema mchezo huo ambao ni wa mwisho kabla ya kuwavaa KMC katika […]