BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji Donald Ngoma, limeiongoza Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuzoa pointi tatu muhimu dhidi ya Mwadui.

Jan 19, 2019 11:49pm

BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji Donald Ngoma, limeiongoza Klabu Bingwa ya Afrika...

Jan 18, 2019 11:58am

BAADA ya kucheza mechi mbili mfululizo za ugenini kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Klabu...

Jan 16, 2019 09:26pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeondoka na pointi moja kwenye Uwanja wa...

Jan 19, 2019 11:49pm

BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji Donald Ngoma, limeiongoza Klabu Bingwa ya Afrika...

Jan 18, 2019 11:58am

BAADA ya kucheza mechi mbili mfululizo za ugenini kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Klabu...

Jan 16, 2019 09:26pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeondoka na pointi moja kwenye Uwanja wa...

Jun 02, 2012 05:30am

Wakati wachezaji Aggrey Morris, Mwadini Ally, Deogratius Munishi, Erasto Nyoni, Waziri Salum,...

Jan 05, 2012 06:12pm

 

Nahodha Agrey Morris amewatoa shaka mashabiki wa Azam FC kwa kuhakikisha ushindi...

Jan 19, 2019 11:49pm

BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji Donald Ngoma, limeiongoza Klabu Bingwa ya Afrika...

Sep 13, 2014 04:08pm

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Joseph Marius Omog amesema kwamba kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa...

Jul 10, 2016 01:55pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, umetangaza rasmi kuwatema wachezaji...

Nov 11, 2016 10:25pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, unayofuraha kuwaataarifu wapenzi wa...

News by Cetegory

Highlight News

Jan 19, 2019 11:49pm

BAO pekee lililofungwa na mshambuliaji Donald Ngoma, limeiongoza Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuzoa pointi tatu muhimu dhidi ya Mwadui.

Ushindi huo unawafanya mabingwa hao mara tatu mfululizo wa Kombe la Mapinduzi, kufikisha pointi 44 kwenye msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) ikizidiwa pointi tisa na vinara Yanga iliyokuwa nazo 53, huku ikiwa pia na mchezo mmoja mkononi.

Mabingwa hao waliingia kwenye mchezo huo wakiwakosa takribani nyota wake 10 kwa...

Jan 18, 2019 11:58am

BAADA ya kucheza mechi mbili mfululizo za ugenini kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inarejea nyumbani Azam Complex kukipiga dhidi ya Mwadui kesho Jumamosi saa 1.00 usiku.

Azam FC imefanikiwa kuondoka na pointi moja katika hizo mbili, ikipoteza kwa mara ya kwanza msimu huu dhidi ya Mtibwa Sugar (2-0) na mchezo uliopita ikitoka suluhu na Ruvu Shooting, hadi sasa ikiwa nafasi ya pili kwa pointi 41 ilizojikusanyia.

Mabingwa hao...

Jan 16, 2019 09:26pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeondoka na pointi moja kwenye Uwanja wa Mabatini baada ya kutoka suluhu na wenyeji wao, Ruvu Shooting, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) uliofanyika leo Jumatano jioni.

Sare hiyo inaifanya Azam FC kufikisha jumla ya pointi 41 katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi hiyo ikiwa tofauti ya pointi 12 na vinara Yanga wenye pointi 53, lakini matajiri hao wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

Kikosi cha Azam FC kilijitahidi...

Jan 15, 2019 07:12pm

BAADA ya kutwaa taji la Kombe la Mapinduzi mwishoni wa wiki iliyopita, kikosi cha Azam FC kinatarajia kushuka dimbani kuvaana na Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) utakaofanyika Uwanja wa Mabatini, Mlandizi Pwani kesho Jumatano saa 10.00 jioni.

Azam FC iliyoonyesha umwamba kwenye michuano ya Mapinduzi, wachezaji wake wataingia katika mchezo huo, wakiwa na morali ya hali juu kutokana na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo na kulibeba jumla jumla.

...
Jan 14, 2019 07:41pm

WINGA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Enock Atta, ni miongoni mwa wachezaji 25 wa timu ya Taifa ya vijana ya Ghana chini ya umri wa miaka 20 ‘Black Satellites’ walioitwa kwa ajili ya kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana (AFCON U-20).

Fainali hizo zinatarajia kufanyika nchini Niger katika miji ya Niamey na Maradi kuanzia Februari 2 hadi 17 mwaka huu, Ghana ikiwa Kundi B sambamba na Senegal, Mali na Burkina Faso.

Hii ni mara ya pili kwa Atta...

Jan 13, 2019 08:04pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imeandika rekodi mpya kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, ya kulitwaa taji hilo mara tatu mfululizo baada ya kuichapa Simba mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba.

Azam FC kulitwaa taji hilo, hiyo inamaanisha kuwa inakabidhiwa moja kwa moja kikombe cha michuano hiyo kutokana na sheria za waandaaji kueleza kuwa timu yote itakayobeba mara tatu mfululizo basi kombe litakuwa lake.

Mabingwa hao...

Jan 12, 2019 03:47pm

ZIMEBAKI saa kadhaa kabla ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kuvaana na Simba katika fainali ya Kombe la Mapinduzi itakayofanyika Uwanja wa Gombani, Pemba kesho Jumapili saa 9.30 jioni.

Wakati Azam FC ikitinga fainali baada ya kuichapa KMKM mabao 3-0, Simba yenyewe imeshinda kwa changamoto ya mikwaju ya penalti 3-1 dhidi ya Malindi kufuatia dakika 90 kumalizika kwa suluhu.

Mchezo huo unakumbushia fainali ya mwaka 2017, Azam FC ilipoifunga Simba bao 1-0, bao...

Jan 11, 2019 07:36pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga fainali ya tatu mfululizo ya michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa KMKM mabao 3-0, mchezo wa nusu fainali uliofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Azam FC hivi sasa inasubiria kujua mpinzani wake katika mechi ya fainali, ambaye huenda ikawa Simba au Malindi ambazo zitacheza nusu fainali ya pili saa 2.15 usiku.

Nahodha wa Azam FC, Agrey Moris, alianzisha safari ya timu hiyo fainali akifunga bao la kwanza dakika...

Jan 10, 2019 06:34pm

DROO ya raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) imefanyika leo, Azam FC ikipangwa kucheza na Pamba ya jijini Mwanza, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam kati ya Januari 25 na 28 mwaka huu.

Azam FC iliingia raundi hiyo baada ya kuifumua Madini ya Arusha mabao 2-0, yaliyofungwa na winga Enock Atta na mshambuliaji wa zamani wa timu hiyo, Yahya Zayd, aliyetimkia Ismaily ya Misri mwanzoni mwa wiki hii.

Pamba yenyewe inakutana...

Jan 10, 2019 02:53pm

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, ipo kamili kukipiga na KMKM katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2019 utakaofanyika Uwanja wa Amaan, Zanzibar kesho Ijumaa saa 10.15 jioni.

Hii ni nusu fainali ya tatu mfululizo, Azam FC inaingia katika michuano ikiwa inalifukuzia taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo, na imeingia hatua hiyo baada ya kumaliza kinara wa Kundi B ikifikisha pointi 10.

Kuelekea mchezo huo, Kocha Mkuu wa Azam FC, Hans Van Der Pluijm,...

Jan 10, 2019 12:48am

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, imetinga nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2019 ikiwa kinara wa Kundi B, baada ya kuichapa Malindi mabao 2-1, mchezo uliomalizika kwenye Uwanja wa Amaan leo Jumatano usiku.

Azam FC sasa itacheza na KMKM iliyoshika nafasi ya pili kwenye Kundi A katika nusu fainali ya kwanza ya michuano hiyo itakayofanyika keshokutwa Ijumaa saa 10.15 jioni huku ikifuatiwa na nusu fainali ya pili kati ya Simba na Malindi itakayoanza saa 2.15 usiku...

Jan 08, 2019 06:11pm

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kubwa kuthibitisha kufikia makubaliano na klabu ya Ismaily ya nchini Misri juu ya mauzo ya mshambuliaji chipukizi, Yahya Zayd.

Zayd, 20, yupo nchini Misri tayari hivi sasa kwa vigogo hao wa soka walioingia hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu, ambapo ameshamaliza taratibu zote za kimkataba baada ya awali kufuzu vipimo vya afya.

Ismaily imemsajili Zayd baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu...

Back to Top