
July 28, 2021
Azam FC yapangwa Kundi B Kagame Cup 2021
Top stories
July 28, 2021
KLABU ya Azam imepangwa Kundi B sambamba na timu za Tusker (Kenya) na Atlabara (Sudan Kusini) kwenye fainali za michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup). Michuano hiyo inatarajia kuanza kutimua vumbi kuanzia Agosti Mosi hadi 15 mwaka huu, jijini Dar es Salaam. Azam FC tutashiriki michuano hii yenye historia kubwa…