
Kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, Idris Mbombo alifunga bao la kwanza na kwenda moja kwa moja kwenye benchi la wachezaji wa akiba kushangilia bao lake na Prince Dube. Mbombo na Dube wanachezaji nafasi moja na mara nyingi wachezaji wanaocheza nafasi moja huwa na ushindani unaowafanya wasiwe na mahusiano ya karibu sana, lakini siyo…