Kuelekea mchezo wa kesho, Aprili 22, dhidi ya Ruvu Shooting, kocha msaidizi Aggrey Morris, amesema timu yake itaingia uwanjani kwa kuwaheshimu wapinzani licha ya muendelezo mbaya wa matokeo upande wao. Akiongea kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Morogoro ambako mchezo huo utafanyika, Morris amesema timu yake itamkosa mchezaji mmoja, Daniel Amoah, kutokana na kutumikia…
News
Kali Ongala, kocha wa Azam FC, amesema timu yake inahukumiwa sana na makosa binafsi ya mchezaji mmoja mmoja kuliko makosa ya kimbinu ya timu nzima. Akiongea na azam.fc baada ya mechi ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar, kocha Kali amesema japo wanayafanyia kazi sana mazoezini makosa hayo, lakini bado yanajirudia kila siku kwenye…
Kiungo wa ulinzi raia wa Nigeria, Isah Ndala ‘Dikteta’, amefunga bao lake la kwanza tangu ajiunge na Azam FC msimu huu. Ndala ambaye amecheza mechi 515 zilizogawanyika ndani mechi 13, alikuwa hajawahi kuifungia bao Azam FC zaidi ya kutoa pasi moja ya bao. Ndala amefunga bao hilo katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa…
Dakika ya 59, Azam FC inafanya mabadiliko, anatoka Yahya Zayd na kuingia Iddy Nado. Dakika hiyo hiyo Nado anapokea mpira kutoka kwa Bruce Kangwa, anakokota kidogo na kuachia shuti kali linalomshinda kipa wa Mtibwa Sugar, Mohammed Makaka, na kutinga wavuni. Hilo linakuwa bao la pili kwa Azam FC katika mchezo huo kufuatia lile la kwanza lililofungwa…

Kocha Kali Ongala amesema vijana wake wako tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar kesho Aprili 7 dimbani Azam Complex, kuanzia saa tatu usiku. Huu utakuwa mchezo wa pili mfululizo dhidi ya Mtibwa Sugar baada ya kuwa timu hizi zimetoka kukutana kwenye robo fainali ya ASFC Aprili 3. Hali kama hii ilitokea…

Kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Ihefu uliofanyika Machi 13 dimbani Highland Estate Mbarali, Idris Mbombo alikaribia kufunga kwa mkwaju wa adhabu ndogo kama siyo mpira kutoka nje sentimita chache. Akarekebisha vipimo kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, Machi 27, ambapo alifunga bao zuri sana kwa mkwaju wa adhabu ndogo. Muendelezo huo mzuri…

Azam FC Ghanaian defender, Daniel Amoah, has apologized to Azam FC fans for the incident that led to his sending off during an ASFC quarter final game against Mtibwa Sugar, on April 3, 2023 at Azam Complex Chamazi. Amoah was given his marching order in 20th minute after he wrestled down Mtibwa Sugar’s Charles Ilanfiya…

Ushindi wa 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports unaifanya Azam FC kutinga nusu fainali ya sita ndanoi ya misimu nane ya mashindano hayo. Misimu mingine ambayo Azam FC ilitinga nusu fainali ni 2015/16, 2016/17, 2018/19 ambapo ilishinda ubingwa, 2020/21 na 2021/22. Katika mchezo wa leo, bao…

Mashabiki wa Azam FC wamefurahishwa na ushindi wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports dhidi ya Mtibwa Sugar dimbani azam Complex. Mwenyekiti wa tawi la Charambe, Propela, amesema alipata mshtuko wakati Daniel Amoah alipooneshwa kadi nyekundu lakini namna benchi laufundi lilivyojipanga na kuituliza timu lilikuwa jambo kubwa ambalo limepa raha sana. Boss…

Katika kujiandaa na mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho la Azam Sports dhidi ya Mtibwa Sugar, vijana wa Azam FC chini ya kocha Kali Ongala, wamefanya mazoezi kuanzia saa tatu usiku, ambao ndiyo utakuwa muda wa kuanza mchezo huo. Mchezo huo utakaofanyika Jumatatu ya Aprili Mosi dimbani Azam Complex Chamazi, utaanza saa tatu…