
Kikosi cha Azam FC kimemaliza mazoezi yake ya mwisho kabla ya mchezo wa kesho dhidi ya JKU ya zanzibar. Mchezo huo wa kirafiki ni maalumu kwa ajili ya kupima maendeleo ya kiufundi kuelekea mchezo wa robo fainali dhidi ya Mtibwa Sugar, Aprili 3 mwaka huu. Kocha Kali Ongalla amesema mchezo huo ni muhimu kwa ajili…