Recap
ZIWA TANGANYIKA KUGUMU
Azam FC imeshindwa kuvuna alama zote tatu mbele ya Mashujaa FC ya Kigoma na kuambulia suluhu. Katika mchezo huo ulioshuhudia matukio mengi ya makosa ya waamuzi, Azam FC ilitawala vipindi vyote lakini jitihada za kupata bao zilizimwa na makosa ya waamuzi.
Katika moja ya matukio ya kushangaza ni kitendo cha Mashujaa kuanza mpira kwa kuupiga nie moja kwa moja badala ya kupasiana au kupiga golini kama ilivyozoeleka.
Kocha Rachid Taoussi alimuanzisha Yannick Bangala badala ya Yeison Fuentes kama ilivyozoeleka, lakini hata hivyo, mkongomani huyo akashindwa kumaliza mechi na ikabidi Fuentes aingie.
Dakika ya 10, Ibrahim Ame, alimuangusha Jhonier Blanco ndani ya 18 lakini mwamuzi hakuchukua hatua yoyote.
Almanusura Nassor Saadun afunge bao la juhudi binasfı dakika ya mwisho ya mchezo baada ya kuwahadaa malinzi kadhaa wa Mashujaa, lakini sauti lake likagonga mwamba na mpira kutoka.
Hadi mwisho wa mchezo Azam FC 0-0 Mashujaa FC.
Mechi iamco ni dhidi ya Naumngo mini Rwangwa, Oktoba 3.
Azam FC
Mustafa Mohamed, Lusajo Mwaikenda, Pascal Msindo, Yoro Diaby, Yannick Bangala, Ever Meza, Idd Nado, Adolf Mutasingwa, Jhonier Blanco, Feisal Salum, Gibril Sillah
Details
Date | Time | League | Season |
---|---|---|---|
September 29, 2024 | 4:00 pm | NBC Premier League | 2024 |
Ground
CCM Kambarage |
---|
Results
Club | 1st Half | 2nd Half | Goals | Outcome |
---|---|---|---|---|
Mashujaa FC | 0 | 0 | 0 | Draw |
AZAM FC | 0 | 0 | 0 | Draw |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |
0 |
|
0 |