
July 28, 2021
Nado aibeba Azam FC akiwafunika wachezaji wazawa TZ
Top stories
July 28, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Azam, Idd Seleman ‘Nado’, ameandika rekodi ya kuwa mchezaji pekee mzawa aliyehusika kwenye mabao mengi kwenye ligi msimu ulioisha 2020/2021. Nado amewafunika kabisa wachezaji wenzake wa Kitanzania, baada ya kuhusika kwenye mabao 19, akiwa amefunga 10 na kutoa pasi za mwisho tisa, akimzidi mfungaji bora wa ligi, John Bocco ‘Adebayor’,…