
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya vijana chini ya miaka 17, Azam FC, wameendeleza ubabe wao kwa ushindi wa nne mfululizo msimu huu baada ya kuichapa Ruvu Shooting mabao 4-1 kwenye viwanja vya kituo cha maendeleo ya ufundi cha TFF Kigamboni jijini Dar Es Salaam. Azam FC iliuanza mchezo huo kwa kasi ikitafuta mabao ya…