
October 26, 2021
‘MIMI NIKIPANGWA POPOTE FRESHI TU’
Interviews
October 26, 2021
BEKI wa kati chipukizi wa Klabu ya Azam, Lusajo Mwaikenda, ameweka wazi yupo tayario kucheza popote atakapopangwa kikosini kwenye mechi. Kauli ya beki huyo imekuja siku chache mara baada ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, George Lwandamina, kumbadilisha namba kwa kumchezesha kama beki wa kulia katika mechi mbili zilizopita dhidi ya Namungo na Pyramids. Lusajo…