
BAO la dakika za mwisho la mshambuliaji, Rodgers Kola, limeiwezesha klabu ya Azam FC, kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara (NBCPL) ulifanyika katika Uwanja wa Mabatini, Mlandizi, Pwani, leo Jumanne jioni. Azam FC iliingia kwenye mchezo huo ikiwa na majeruhi kadhaa kikosini, wakiwemo…