Azam FC leo imepata ushindi wa 2-0 dhidi ya Stand United ya Shinyanga katika muendelezo wa mechi za ligi kuu ya Tanzania VPL

Shukrani kwa magoli ya Allan Watende Wanga na Frank Rymond Domayo yanayoifanya Azam FC iendeleze rekodi ya ushindi kwa asilimia 100 tangia kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom.

Kwingineko Yanga SC imepata ushindi wa 3-0 dhidi ya Tanzania Prisons na Simba SC ikaifunga Mgambo Shooting Stars 2-0 na kufanya timu tatu kubwa za Azam FC, Simba & Yanga zote kufikisha pointi sita kwenye kilele ya msimamo wa ligi kuu

Kikosi kilichoanza leo shidi ya Stand United ni
Aishi Manula
Himid Mao Mkamy
Farid Mussa Malik
Ambrose Morris Agrey
Serge Pascal Wawa
David Mwantika
Frank Domayo,
Jean Baptiste Mugiraneza Migi,
Abubakar Salum, 
Allan Wanga & 
John Rapha Bocco.