Kikosi cha Azam FC leo usiku kitacheza na KMKM kwenye uwanja wa Amaan katika kujipima nguvu kabla ya mchezo wa Ngao ya Hisani utakaopigwa wiki moja kabla ya kuanza kwa ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2015/16.

 

Mechi hiyo itakayoanza saa moja usiku, itaoneshwa live kupitia  Channel 100 ya Azam TV 
Ratiba kamili ya mechi za kirafiki huko Zanzibar ambazo zote zitaruka live kupitia info channel 100 ya Azam TV ni
Leo Jumatano tarehe 12/08/15 Azam FC vs KMKM kick off 7:00pm

Jumamosi tarehe 15/08/2015 Azam FC vs Mafunzo Kick off 7:00pl

Jumatatu tarehe 17/08/2015 Azam FC vs JKU kick off 7:00p