Mwanandinga toka nchini Uingereza Ryan Burge akiwa na Kevin Friday kwenye mazoezi ya asubuhi kabla ya kukwea basi kuelekea mkoani Tanga kwa mechi za majaribio

Azam FC itacheza na Coasta Union na African Sports Kesho na keshokutwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani