Muda wowote kuanzia sasa mshambulizi kiongozi wa Mtibwa Sugar Ame Ally atatua Azam FC, Mazungumzo baina ya mchezaji na Uongozi wa Mtibwa Sugar yamekamilika, kilichosalia ni kwa mchezaji kumalizia taratibu za kujiunga na Azam FC na kutangazwa rasmi…

Zoezi hili litakapokamilika mtandao huu utawajulisha