Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu akiwatoka wachezaji wa Azam Academy katika mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0, bao pekee la Salum Abubakar 'Sure Boy' dakika ya 47.