Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad (kushoto) akimkabidhi jezi ya timu, beki Serge Wawa Pascal, raia wa Ivory Coast baada ya kusaini Mkataba wa kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara akitokea El Merreikh ya Sudan, mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame