Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akimiliki mpira katikati ya viungo wa Simba SC wakati wa mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars asubuhi ya leo Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Benin keshokutwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.