Beki wa Azam FC, Ismail Gambo 'Kussi' akiwa na Dk Abbas Chopdawala katika hospitali ya Inamdar mjini Pune, India baada ya kupanyiwa upasuaji wa mguu na kuwekewa vyumba kufutaia kuvunjika kwa mifupa kadhaa. Mungu amjaalie mchezaji huyo apone haraka na kurejea uwanjani.