Kiungo wa Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy' akifanya mazoezi katika gym ya klabu iliyopo Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam asubuhi ya leo.