Mshambuliaji mpya wa Azam FC kutoka Hati, Leonel Saint-Preux akimtoka beki wa Poilisi Morogoro katika mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0 bao pekee la mchezaji huyo wa kimataifa wa Haiti.