Mshambuliaji wa kimataifa wa Haiti, Leonel Saint-Preux kushoto akikabidhiwa jezi na Meneja wa Azam FC, Jemadari Said leo baafda ya kusaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara kuanzia msimu ujao.