Mwonekano wa paja la kiungo wa Azam FC, Frank Domayo baada ya kufanyiwa upasuaji wa tiba ya misuli ya nyama za eneo hilo nchini Afrika Kusini mwishoni mwa wiki.