Mkurugenzi wa Makampuni ya SSB, Said Mohamed, (wa pili kulia) akitoa maelezo kwa viongozi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi,  wakati walipokuwa wakitembelea kujionea Uwanja na Gym ya mazoezi ya timu ya Azam FC iliyopo kwenye Uwanja wa Azam Complex, unaomilikiwa na timu ya hiyo, leo Chamazi.