Kiungo Salum Abubakar 'Sure Boy' kulia akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji Ismaila Diara wakati wa mazoezi ya mabingwa wa Tanzanjia BaraAzam FC asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.