Hiki ndicho kikosi kilichcheza mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC ikiifunga 2-0 JKT Ruvu na kukabidhiwa Kombe lake. Kutoka kulia waliosimama ni John Bocco, Erasto Nyoni, David Mwantika, Himid Mao, Said Mourad na Gaudence Mwaikimba. Waliochuchumaa kutoka kulia ni Kipre Tchetche, Kipre Balou, Aishi Manula, Gardiel Michael na Salum Abubakar 'Sure Boy'.