Kiungo wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Tanzania, Ngorongoro Heroes, Kevin Friday kushoto akipambana na Nigeria, Flying Eagles jana katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani nchini Senegal uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Nigeria walishinda 2-0.