Azam FC Facebook Page imefikisha marafiki laki moja na kufanya page ya klabu ya soka yenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki,
Kama hiyo haitoshi, Status ya taarifa za usajili yenye picha ya Frank Domayo ilifikisha comments 1,000, Likes 1,800 huku watu 73,000 wakiiona na kuifanya status iliyovunja rekodi kwa page hii na pengine ikakosa mshindani hata nje ya page hii…
Tunakushukuru wewe mdau wetu kwa kutuunga mkono, hatuna cha kukulipa zaidi ya kusema AHSANTE
https://www.facebook.com/azamfc?ref=hl#