Kiraka wa Azam FC, Himid Mao akimiliki mpira mbele ya beki wa Burundi akiichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam uliokwenda sambamba na sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Burundi ilishinda mabao 3-0.