Mashabiki wa Azam FC waliokwenda kuishangilia timu jana Mlandizi kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting iliyoahirishwa hadi leo, wakicheza na kuimba bila kujali mvua kuashiria sapoti yao kwenye timu. vikundi vya mashabiki kutoka sehemu mbalimbali ya Dar es Salaam huenda kila Azam inapocheza ndani na nje ya mji kuishangilia timu yao.