Beki wa Azam FC, Samih Hajji Nuhu katikati akiwa na Daktari Mkuu wa klabu, Dk Mwanandi Mwankemwa na Mweka Hazina wa timu, Karim Mapesa nje ya hospitali ya Vincent Palloci mjini Cape Town, Afrika Kusini tayari kuingia kufanyiwa upasuaji na Mtaalamu, Dk Nicholas. Msafara huo ulioondoka jana, unatarajiwa kurejea kesho nchini.