Azam FC dakika chache zijazo inashuka kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Chamazi kukwaa na Tanzania Prisons

Kikosi cha Tanzania Prisons kipo katika hali nzuri sana ikiwa ndiyo timu iliyovuna pointi nyingi zaidi kwenye raundi hii pamoja na Yanga, Prisons imevuna pointi 10 baada ya kushinda michezo mitatu na kutoka sare mmoja

Prisons ambayo katika mchezo wake wa mwisho kabla ya huu ilishinda 6-0 dhidi ya JKT Ruvu itajariku kupata matokeo dhidi ya Azam FC ambayo haijawahi toka sare wala kupoteza mchezo wowote wa  ligi chini ya kocha Marius Omog.

Azam FC imecheza michezo mitatu ya raundi ya pili na kushinda yote pasi na kuruhusu nyavu zake ziguswe.

Tovuti ya Azam FC inawatakia wachezaji n benchi la ufundi la Azam FC mchezo mwema na ushindi mkubwa ili iweze kurejea kileleni.

 

Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni

1. MWADINI ALLY

2. DAVID MWANTIKA

3. ERASTO NYONI

4. MORADI MORADI

5. AGGREY MORIS

6. BOLOU KIPRE

7. HIMIDI MAO

8. SALUM ABUBAKAR

9. JOHN BOCCO

10. BRIAN OMONY

11. KIPRE

Substitutions 

1. AISHI MANULA

2. JABIR AZIZ

3. IBRAHIM MWAIPOPO

4. KHAMIS MCHA

5. KONE ISMAEL

6. MALIKA NDEULE

7. KELVIN FRIDAY