AZAM FC inashuka kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi leo kukwana na Clube De Ferovviario ya Beira nchini Msumbiji.

Mchezo huu kwa Azam FC unakuwa wa kwanza kimataifa na wa kwanza nchini kwa klabu kutumia uwanja wake wa nyumani.

Katika mchezo wa leo Azam FC inatarajiwa kuwakilishwana Mwadini Ally, Malika Ndeule, Erasto Nyoni, Aggrey Morris, Said Moradi, Kipre Bolou, Himid Mao, Salum Abubakar, Brian Omony, Kipre Tchetche na Khamis Mcha Viali