Magoli matatu ya Adam Omary, Erick Haule, na Ahmed Abbas Machupa yalitosha kuiwezesha  Azam Academy kufika hatua ya mtoano wa matuta kufuatia Mtibwa Sugar na kufunga magoli matatu katika muda wa kawaida

Wakati wa michomo ya penati, Golikipa Hamadi Juma Kadedi ndiye aliyekuwa shujaa baada ya kuokoa michomo mitatu na kuiwezesha Azam Academy kupata ushindi wa tatu