Baada ya jumapili iliyopita kutoka sare na Prisons kwa kufungana 1-1, Azam FC tayari imetua Tanga kuikabili Coastal Union wikiendi hii