JKT Ruvu Ruvu Stars inaendelea kuongoza ligi kuu kwa kufikisha pointi tisa baada ya kuifunga Ashanti United 1-0. Ruvu JKT sasa imefikisha pointi tisa na magoli sita ya kufunga huku nyavu zake zikiwa hazijaguswa… ukuta wa Ruvu JKT unaongozwa na makinda ya Azam FC yaliyo kwa mkopo jeshini Mkomola na Omary Mtaki.
Simba wapo kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi saba na ndugu zao Ruvu shooting wana pointi sita.

Azam FC tumefikisha pointi tano baada ya leo kutoka sare na Kagera Sugar, goli la Azam FC leo limefungwa na Khamis Mcha Viali, matokeo mengine ya ligi kuu leo ni

Simba 2-0 Mtibwa,
Yanga 1-1 Mbeya Cty,
Prisons 0-0 Coastal Union,
Rhino 1-1 Oljoro,
Ruvu Shooting 1-0 Mgambo na
Ruvu JKT 1-0 Ashanti United