Majaribio kwa Azam Academy sasa yatafanyika Jumatatu tarehe 2/9/2013 Badala ya Jumapili Kesho kutokana na Uwanja kuwa kwenye matumizi mengine hiyo kesho. Uongozi wa Azam Academy unaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.