Azam FC jana iliifunga Rhino Rangers 0-2 katika mchezo mkali uliojaa umati mkubwa wa watazamaji kwenye uwanja wa Ally Hassan Mwinyi huko Tabora
Magoli ya Azam FC yalifungwa na Gaudence Mwaikimba na Abdallah Seif Karihe
Matokeo mengine ya ligi kuu ni kama ifuatavyo
Yanga 1-1 Coastal Union
JKT Oljoro 0-1 Simba
Mgambo JKT 1-0 Ashanti
Mbeya City 2-1 Ruvu Shooting Stars
Mtibwa Sugar 1-0 Kagera Sugar
JKT Ruvu 3-0 Prisons
Picha kwa hisani ya blogu ya Binzubeiry iliyoko Tabora