Meneja wa Azam FC Jemedary Said akipokea tuzo ya mshindi wa pili toka kwa Mheshimiwa Waziri wa Vijana na Michezo Dkt Fenella Mukangara huku mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Kevin Twissa akishuhudia. hafla hii ilifanyika kwenye hoteli ya Hilton Double Tree