Kipre Tchetche akiwa ameshika tuzo yake ya ufungaji bora "Golden Boot" huku akishuhudiwa na Mh Waziri wa Vijana na Michezo Dkt Fenella Mukangara na Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Kevin Twissa