Kocha Mkuu Stewart Hall akiongoza kikao cha kwanza cha pamoja kati ya benchi la ufundi la timu ya wakubwa na vijana wa Azam FC kwenye ukumbi wa wazi uliopo chamazihii ilikuwa jumamosi iliopita ambapo kikao kilitanguliwa na mechi kati ya Azam FC na Azam Academy na Azam FC kushinda kwa bao 1-0 goli likifungwa na Brian Umony