TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UCHUNGUZI WA TAKUKURU DHIDI YA TUHUMA ZA RUSHWA KWA WACHEZAJI WANNE (4) WA AZAM FC
AZAM FC inatoa taarifa rasmi kuwa TAKUKURU haijawakuta na hatia ya rushwa wachezaji;
DEOGRATIUS BONIVENTURE MUNISHI, ERASTO NYONI, SAID HUSSEIN MORAD NA AGREY MORRIS.
Hivyo wachezaji hao wanakaribishwa rasmi kurudi kikosini AZAM FC kwa ajili ya kujiunga na mazoezi na wachezaji wenzao.
Tunatanguliza shukrani
Imetolewa.na NASSOR IDRISSA– KATIBU MKUUwa AZAM FC. Jumanne 14/2013