Timu za Azam FC na BYCll kwa sasa zinajiandaa kuelekea uwanja wa Taifa kumalizia ubishi wa nani zaidi katika mashindano ya CAF Confederations Cup 2013

Azam FC inatarajiwa kushuka kikosi kamili leo akiwemo mshambuliaji hatari ambaye alikuwa majeruhi kwa takribani wiki tano sasa Mganda Brian Umony

 

Wachezaji wote wa Azam FC wapo katika hali nzuri isipokuwa Samih Haji Nuhu ambaye ni majeruhi na Abdulhalim Humoud ambaye yupo nchini Afrika ya Kusini

 

Mungu ibariki Azam FC, Mungu ibariki Tanzania